# Sentensi unganishi Yesu anamfundisha Petro juu ya kulipa ada ya hekalu # wakati wao wakati yesu na wanafunzi wake # kodi ya nusu shekeli kodi juu ya wanaume wote wa kiyahudi ambayo ilitolewa ili kuwezesha kazi za hekaluni # nyumba mahali Yesu alipokaa # Unafifkiri nini Simoni? wafalme wa dunia ...kutoka kwa wageni? Yesu anauliza swali hili kumfundisha Simoni asitafute taarifa kutoka kwake. "Sikiliza Simoni, tunafahamu kuwawafalme wa dunia hukusanya kodi kutoka kwa wageni na wala si kwa raia wake. # wafalme wa dunia viongozi kwa ujumla # Raia watu chini ya kiongozi au mfalme # wanaotawaliwa watu walio chini ya mfalme