sw_tn/mat/17/05.md

20 lines
389 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tazama
Hii hutahadharisha msomaji kuwa makini na maelezo ya kushangaza yanayofuata
# likawatia kivuli
"lilikuaj juu yao"
# ikatokea sauti toka kwenye wingu
"Sauti inamaanisha Mungu aliogea" aua "Mungu aliongea noa kutoka kwenye wingu"
# waanafunzi waliposikia
"wanafunzi walimsikia Mungu akiongea"
# Walianguka kifulifuli
Wanafunzi waliinama kwa nyuso zao kugusa chini ardhini.