# Tazama Hii hutahadharisha msomaji kuwa makini na maelezo ya kushangaza yanayofuata # likawatia kivuli "lilikuaj juu yao" # ikatokea sauti toka kwenye wingu "Sauti inamaanisha Mungu aliogea" aua "Mungu aliongea noa kutoka kwenye wingu" # waanafunzi waliposikia "wanafunzi walimsikia Mungu akiongea" # Walianguka kifulifuli Wanafunzi waliinama kwa nyuso zao kugusa chini ardhini.