sw_tn/mat/17/03.md

24 lines
566 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tazama
Neno hili linatutayarisha kuwa tayari kwa taarifa za kushangaza zinazofuata.
# kwao
kwa wanafunzi waliokuwa na Yesu amabao ni Petro, Yakobo na Yohana
# akajibu na kusema
"sema." Petro hajibu swali.
# pamoja naye
"pamoja na Yesu"
# ni vizuri kwetu kuwa hapa
Maana zinazowezekana: 1)"ni vizuri kwamba sisi wanafunzi tuko hapa pamoja nawe, Musa, na Eliya au 2)"ni vizuri kuwa wewe, Musa, Eliya, na sisi wanafunzi wote tuko hapa pamoja"
# mahala pa kujihifadhi
Maana zinazowezekana: 1)mahali pa watu kuja kuabudia au 2)mahali pa muda pa watu kulala.