sw_tn/mat/17/01.md

20 lines
328 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa ujumla
Hii inazisha habariya Yesu kubadilika sura
# Petro, na Yakobo, na Yohana kaka yake
"Petro, Yakobo, na kaka yake Yakobo Yohana"
# Alibadilishwa
"Mungu amembadilisha kabisa Yesu
# mavazi
"nguo"
# Uso wake ukang'aa kama jua ...kung'aa kama nuru
Hii ni milinganyo inayosisitiza jinsi Yesu alivyong'aa.