# Maelezo kwa ujumla Hii inazisha habariya Yesu kubadilika sura # Petro, na Yakobo, na Yohana kaka yake "Petro, Yakobo, na kaka yake Yakobo Yohana" # Alibadilishwa "Mungu amembadilisha kabisa Yesu # mavazi "nguo" # Uso wake ukang'aa kama jua ...kung'aa kama nuru Hii ni milinganyo inayosisitiza jinsi Yesu alivyong'aa.