sw_tn/mat/15/intro.md

28 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Mathayo15 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na upangiliaji
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Baadhi ya tafsiri hupendelea kuweka mbele kidogo nukuu za Agano la Kale. ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari yote ya 15: 8-9, ambayo ni nukuu kutoka Agano la Kale.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Desturi"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
"Desturi za wazee," yaani, sheria zilizotamkwa, ni dhana muhimu katika sura hii. Hizi ndizo sheria ambazo viongozi wa kidini kati ya Wayahudi walikuza ili kuhakikisha kwamba Sheria ya Musa ilipata utii. Hata hivyo, sheria hizi mara nyingi zilikuwa muhimu zaidi katika vitendo kuliko Sheria ya Musa yenyewe. Yesu aliwakemea viongozi wa kidini kwa hili, na kwa sababu hiyo wao wakawa na hasira. (Angalia: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Wayahudi na Wayunani
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Imani ya mwanamke Mkanaani kwake Yesu ulikuwa tofauti sana na kutomkubali kwa viongozi wa Kiyahudi. Tofauti hii ilichangia kukemewa vikali kwa viongozi hao.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Kondoo
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Watu mara nyingi huashiriwa kama kondoo katika maandiko. Katika sura hii, taswira ya kondoo inaonyesha kuwa Wayahudi walikuwa wamepotea kiroho bila ya kuwa na kiongozi mwafaka wa kuwaongoza.
## Links:
2021-09-10 19:21:44 +00:00
2021-09-10 19:12:24 +00:00
* __[Matthew 15:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../14/intro.md) | [>>](../16/intro.md)__