sw_tn/mat/15/32.md

20 lines
406 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hii inaanzisha habari ya Yesu akiwalisha watu elfu nne
# wasije wakazimia njiani
"kwa sababu wanaweza kuzimia njiani
# ni wapi tunaweza kupata mikate ya kutosha hapa nyikani kushibisha umati huu mkubwa?
hakuna mahali pa karibu tunapoweza kupata mikate ya kutosha huu umati mkubwa
# saba na samaki wadogo
mikate saba na samaki wachache wadogo
# uketi chini
kaeni mkao wa kula