# Sentensi unganishi Hii inaanzisha habari ya Yesu akiwalisha watu elfu nne # wasije wakazimia njiani "kwa sababu wanaweza kuzimia njiani # ni wapi tunaweza kupata mikate ya kutosha hapa nyikani kushibisha umati huu mkubwa? hakuna mahali pa karibu tunapoweza kupata mikate ya kutosha huu umati mkubwa # saba na samaki wadogo mikate saba na samaki wachache wadogo # uketi chini kaeni mkao wa kula