sw_tn/mat/15/27.md

20 lines
437 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# hata hivyo mbwa waadogo hula chkula ... mezani mwa bwana zao
Yule Mwanamke akamjibu Yesu kwa kutumia mazingira yale yale aliyetumia Yesu kwenye mithali. Alimaanisha kuwa wasiokuwa Wayahudi waliweza kupata kiasi kidogo cha kile walichopata Wayahudi amabcho walikuwa wanatupa.
# mbwa wadogo
tazama 15"24
# na ifanyike kwako kama ulivyotaka
Nitafanya
# binti yake alikuwa ameponywa
Yesu alimponya yule binti
# wakati huo
ghafla