# hata hivyo mbwa waadogo hula chkula ... mezani mwa bwana zao Yule Mwanamke akamjibu Yesu kwa kutumia mazingira yale yale aliyetumia Yesu kwenye mithali. Alimaanisha kuwa wasiokuwa Wayahudi waliweza kupata kiasi kidogo cha kile walichopata Wayahudi amabcho walikuwa wanatupa. # mbwa wadogo tazama 15"24 # na ifanyike kwako kama ulivyotaka Nitafanya # binti yake alikuwa ameponywa Yesu alimponya yule binti # wakati huo ghafla