sw_tn/mat/14/25.md

16 lines
219 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# zamu ya nne
zamu ya inne ilikuwa kati ya saa 9 za usiku mpaka machweo
# akaitembea juu ya bahari
akaitembea juu ya maji
# walihofu
"waliogopa sana
# Ni mzuka
Roho ile iliyotengana na mwili wa mtu baada ya kifo