# zamu ya nne zamu ya inne ilikuwa kati ya saa 9 za usiku mpaka machweo # akaitembea juu ya bahari akaitembea juu ya maji # walihofu "waliogopa sana # Ni mzuka Roho ile iliyotengana na mwili wa mtu baada ya kifo