sw_tn/mat/13/31.md

32 lines
669 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Esntensi ungsnishi
Yesu anaufafanua ufalme wa mbinguni kwa kutumia mfano wa mbegu ambayo hukua na kuwa mti mkubwa
# Ufalme wa mbinguni unafanana n a
"Wakati Mungu wetu wa mbinguni atakapojidhihirisha kama mfalme kuwa mfalme, itakuwa kama", Tazama 13:24.
# mbegu ya haradari
ni mbegu ndogo sana ambayo huweza kukua na kuwa mti mkubwa
# Mbegu hii kwa hakika ni ndogo kuliko mbegu zingine zote
Mbegu za haradari zilikuwa mbegu ndogo zadi ambazo zilifahamika kwa wasikilizaji wa kwanza
# Lakini imeapo
"Lakini mmea unapokuwa"
# huwa kubwa kuliko
ni mkubwa kuliko
# huwa mti
Mmea wa haradli hukua kiasi cha mita 2 had 4 za urefu
# ndege awa angani
"ndege"