sw_tn/mat/13/24.md

40 lines
973 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hapa Yesu anaelezea juu ya uafalme wa mbinguni kwa kutumia mfanao wa shamba lilikuwa na ngano na magugu vikikuwa pamoja
# Ufalme wa mbinguni umefananishwa
tafasiri islinganishe ufame wa mbinguni na mtu, bali ufalme wa mbinguni kama ulivyoelezwa kwenye mfano.
# ufalme wa mbinguni umefananishwana mtu
"Wakti Mungu wa mbinguni atakapojionesha kama mfalme"
# ufalme wa mbinguni umefananishwa n
wakati Mungu wetu wa mbinguni atakapojidhirisha kama mfalme, itkuwa kama
# mbegu nzuri
"mbegu nzuru ya chakula" au "nafaka nzuri"
# adaui ake akaja
"adaui wake akaja shambani"
# magugu
magugu huonekena kama mimea ya chakula yanapokuwa hayajakomaa. laini mbegu zake huwa nasumu" au "mbegu mbaya" au mbegu za magugu"
# baadaye ngano ilipoota
"badaye mbegu za ngano zilipoota" au "wakati mimea ilipochipua"
# ilipotoa mazao
"ilipotoa nafaka" au "ilipotoa mbegu za ngano"
# ndipo magugu yalitokea pia
"watu waliweza kuyaona magugu shambani pia"