sw_tn/mat/13/20.md

32 lines
657 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kwaeleza wanafunzi wake mfano wa mpanzi
# yeye aliyepandwa katika miamba
"kilichopandwa" kinamaanisha mbegu iliyoanguka kwenye miamba.
# Kilichopandwa kwenye miamba ni
miamba ambapo mbegu zilianguka inmaanisha udongo uliokuwa juu ya miamba ambapo mbegu zilianguka
# yule asikiaye neno
katika mfano, mbegu zinamaanisha neno
# neno
ujumbe wa Muungu
# hulipokea kwa furaha
kulipokea neno kwa furaha
# ila hana mizizi ndani yake hiyo huvumilia kwa kitambo kifupi.
mizizi inamaanisha kile kinachomfanya mtu aendelee kuamini ujumbe wa Mungu
# hujikwaa ghafla
kujikwaa humaanisha kuacha kuamini ujumbe wa Mungu