forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
819 B
Markdown
24 lines
819 B
Markdown
|
# Sentensi unganishi
|
||
|
|
||
|
Yesu anaendelea kujibu hoja za mafarisayo za kwamba alimponya mtu kwa nguvu za shetani
|
||
|
|
||
|
# ikiwa shetani atamwondoa shetani mwenzake
|
||
|
|
||
|
Matumizi ya pili ya shetani yanamaanisha pepo wanaomtumikia shetani. "Kama shetani atafanya kazi kinyume na pepo zake"
|
||
|
|
||
|
# Shetani ... Beelzabul
|
||
|
|
||
|
Majina yote yanamaanisha nafsi moja
|
||
|
|
||
|
# ufalme wake utasimama?
|
||
|
|
||
|
Yesu anatumia swali kwapa changamoto Mafarisayo. "Ufalme wa shetani hauwezi kusimama" au "ufalme wa shatani hautadumu"
|
||
|
|
||
|
# wafuasi wenu huwatoa kwa njia ya nani
|
||
|
|
||
|
Yesu anatumia swali lingine kuwapa changamoto Mfarisayo. "kisha lazima useme wafuasi wenu pia huwatoa pepo kwa nguvu za beelzabul. Lakini mnajua kuwa hii siyo kweli"
|
||
|
|
||
|
# kwa ajili hii watakuwa mahakimu wenu
|
||
|
|
||
|
"Kwa sababu wafuasi wenu huwatoa pepo kwa nguvu za Mungu, wanahakikisha kuwa mmekosea."
|