forked from WA-Catalog/sw_tn
80 lines
2.5 KiB
Markdown
80 lines
2.5 KiB
Markdown
|
# Maelezo kwa ujumla:
|
||
|
|
||
|
katika mstari wa 25 na 26, Yesu anomba kwa baba yake aliye mbinguni wakati akiwa bado katika uwepo wa makutano. Katika mstari wa 27, anaanza kusema na watu tena.
|
||
|
|
||
|
# Baba
|
||
|
|
||
|
Hi ni sifa muhimu ya Mungu
|
||
|
|
||
|
# Bwana wa mbingu na nchi
|
||
|
|
||
|
"Bwana anayetawala mbingu na nchi" Kirai cha mbingu na nchi ni cha mlinganyo wa jumla amabcho kinaonesha watu wote na vitu vyote duniani. ''Bwana atawalaye ulimwenguni kote"
|
||
|
|
||
|
# uliwaficha mambo haya ... na kuyafunua
|
||
|
|
||
|
Haiko wazi ina maanisha nini kwa ''mambo haya.'' Kama lugha yako inahitaji kuweka maana halisi, tafsiri nzuri ni hii ''umeuficha ukweli huu na kuwafunulia"
|
||
|
|
||
|
# umewaficha mambo haya
|
||
|
|
||
|
''umewaficha mambo haya '' au ''haujafanya mambo haya kueleweka kwao.'' Hili tendo ni kinyume cha ''kufunuliwa.''
|
||
|
|
||
|
# wenye hekima na ufahamu
|
||
|
|
||
|
Hizi nomino sifa zinzweza kutafasiriwa kama visifa ''kutokawatu wenye hekima na ufahamu.''
|
||
|
|
||
|
# na kuyafunua
|
||
|
|
||
|
"kuyafanya yafahamike." kiwakilisha "ya" kinamaanisha "mambo haya" viko mwanzoni katika mstari huu.
|
||
|
|
||
|
# kwa wasio na elimu,
|
||
|
|
||
|
"kwa wajinga"
|
||
|
|
||
|
# kama watoto wadogo
|
||
|
|
||
|
Yesu anamlinganisha mtu asiye na elimu na mtoto mdogo. Yesu anasisitiza kwamba wengi wa wale wanaomwamini ni watu wasio na elimu au wanaojidhania kuwa si wenye elimu
|
||
|
|
||
|
# kwa kuwa ilikupendeza hivyo machoni pako
|
||
|
|
||
|
kupendeza machoni pako - Hi kirai "machoni pako" ni sentensi mbadala ionyeshayo jinsi mtu apendavyo kitu kuwa ni cha muhimu. "kwa vile ilikupendeza kuwa ni vizuri kufanya hivi"
|
||
|
|
||
|
# Mambo yote yamekabidhiwa kwangu kutoka kwa baba yangu
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kutafasiriwa kwa muundo tendaji: ''Baba yangu amekabidhi mambo yote kwangu'' au ''Baba yangu ameweka kila kitu kwangu."
|
||
|
|
||
|
# Mambo yote
|
||
|
|
||
|
Maana kusudiwa ni 1)Mungu Baba amefunua kila kitu kuhusu yeye na ufalme wake kwa Yesu. aua 2) Mungu ametoa mamlaka yote kwa Yesu
|
||
|
|
||
|
# Baba yangu
|
||
|
|
||
|
Hii ni sifa muhimu ya Mungu amabyo inaonyesha uhusiano kati ya Yesu na Mongu
|
||
|
|
||
|
# hakuna amjuaye Mwana isipokuwa Baba
|
||
|
|
||
|
''Ni Baba pekee amjuaye Mwana.''
|
||
|
|
||
|
# hakuna ajuaye
|
||
|
|
||
|
Nyakati zote Yesu hutumia kirai hiki, neno "ajuaye" linamaanisha zaidi ya kumjua mtu. Linamaanisha kumjua mtu kwa undani kwa sababu wanauhusiano maalumu
|
||
|
|
||
|
# Mwana pekee
|
||
|
|
||
|
Yesu alikuwa anajirejelea yeye mwenyewe binafsi katika nafsi ya tatu.
|
||
|
|
||
|
# mwana
|
||
|
|
||
|
Hii ni sifa ya muhimu ya Yesu mwana wa Mungu
|
||
|
|
||
|
# hakuna amjuaye Mwana isipokuwa Baba
|
||
|
|
||
|
''Ni Mwana pekee amjuye Baba''
|
||
|
|
||
|
# hakuna amjuaye Baba isipokuwa mwana pekee
|
||
|
|
||
|
"ni mwana pekeeamjuaye Baba
|
||
|
|
||
|
# na yeyote ambaye Mwana ana hamu kumfunulia
|
||
|
|
||
|
"na watu wale ambao mwana anapenda kuwafunulia jinsi Mungu alivyo"
|