sw_tn/mat/09/intro.md

18 lines
889 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Mathayo 09 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Kuna takwimu nyingi za matamshi katika sura hii. Ilikuwa ni kawaida pia kwa Yesu kutumia mifano ya analojia na sitiari katika mafundisho yake. Jinsi yake ya kufundisha ilikuwa na nia ya kukuza imani ndani yake. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]] na [[rc://*/tw/dict/bible/kt/faith]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Na", "lakini"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Baadhi ya tafsiri za Kiingereza huanzisha sentensi nyingi katika sura hii na neno "na" au "lakini" ili kuonyesha mfululizo wa matukio katika maelezo. ULB kawaida huondoa maneno haya kwa sababu muktadha wa hadithi yenyewe unaonyesha kuwa matukio hutokea kwa mfululizo. Inakubalika kutumia maneno haya ikiwa yana umuhimu katika tafsiri yako.
## Links:
2021-09-10 19:21:44 +00:00
2021-09-10 19:12:24 +00:00
* __[Matthew 09:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../08/intro.md) | [>>](../10/intro.md)__