sw_tn/mat/09/32.md

44 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi usganishi
Hii ni habari ya Yesu akiwaponya watu waliokuwa wamepagawa na pepo
# tazama
Neno "tazama" linadokeza sisi juu ya mtu mwingine katika simulizi. Lugha yako inaweza ikawa njia nyingine ya kufanya hizi.
# mtu mmoja bubu ... akaletwa kwa Yesu.
Hii inaweza kuelezeka kwa muundo tendaji. "mtu mmoja alimleta bubu kwa Yesu... kwa Yesu"
# bubu
asiyeweza kuongea
# aliyepagawa na pepo
Hii inaweza kueleza katika mfumo tendaji. "ambaye pepo lilikuwa limemumliki" au "amabye pepo lilikuwa linamtawala"
# Na pepo walipomtoka
Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. "Baada ya Yesu kuwa amelitoa pepo" au " Baada ya Yesu kuwa ameliamuru pepo kutoka"
# yule bubu aliongea
"Yule bubu akanza kuongea" au "yule aliyekuwa bubu aliongea" au "mtu ambaye alikuwa bubu akaongea" au yule mtu hakuwa bubu tena"
# umati ukashangazwa
"Watu walishangazwa"
# Hii haijawahi kutokea
Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji "Hii haikuwahi kutokea kabla" au "Hakuna hata mmoja aliyewahi kufanya jambo kama hili hapo awali."
# anawafukuza pepo
"huwalazimisha pepo kutoka"
# huwaondoa
Kiwakilishi "ana" kinamaanisha Yesu