# Sentensi usganishi Hii ni habari ya Yesu akiwaponya watu waliokuwa wamepagawa na pepo # tazama Neno "tazama" linadokeza sisi juu ya mtu mwingine katika simulizi. Lugha yako inaweza ikawa njia nyingine ya kufanya hizi. # mtu mmoja bubu ... akaletwa kwa Yesu. Hii inaweza kuelezeka kwa muundo tendaji. "mtu mmoja alimleta bubu kwa Yesu... kwa Yesu" # bubu asiyeweza kuongea # aliyepagawa na pepo Hii inaweza kueleza katika mfumo tendaji. "ambaye pepo lilikuwa limemumliki" au "amabye pepo lilikuwa linamtawala" # Na pepo walipomtoka Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. "Baada ya Yesu kuwa amelitoa pepo" au " Baada ya Yesu kuwa ameliamuru pepo kutoka" # yule bubu aliongea "Yule bubu akanza kuongea" au "yule aliyekuwa bubu aliongea" au "mtu ambaye alikuwa bubu akaongea" au yule mtu hakuwa bubu tena" # umati ukashangazwa "Watu walishangazwa" # Hii haijawahi kutokea Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji "Hii haikuwahi kutokea kabla" au "Hakuna hata mmoja aliyewahi kufanya jambo kama hili hapo awali." # anawafukuza pepo "huwalazimisha pepo kutoka" # huwaondoa Kiwakilishi "ana" kinamaanisha Yesu