sw_tn/mat/09/18.md

24 lines
618 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hii inaanzisha simulizi ya Yesu kumfufua binti wa afisa wa Kiyahudi baada ya kufa.
# mambo hayo
Hii inarejea jibu la Yesu alilowapa wanafunzi wa yohana kuhusu kufunga.
# Tazama
Neno "tazama" linatupa dokezo la mtu mwingine mpya katika hadithi. Lugha yako inawezekana ikawa na njia nyingine ya kufanya hivi.
# akasujudu kwake
Hii ni njia mtu yeyote kuonyesha heshima katika utamaduni wa kiyahudi.
# njoo na uweke mkono wako juu yake, na yeye ataishi tena
Hii inaonyesha kwamba ofisa wa kiyahudi aliamini Yesu ana nguvu ya kurudisha uhai wa binti yake.
# wanafunzi wake
wanafunzi wa Yesu