sw_tn/mat/09/16.md

20 lines
419 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kujibu swali ambalo wanafunzi wa Yohana walikuwa wameuliza
# Hakuna anayeweka kipande cha nguo mpya kwenye nguo ya zamani
Huu msemo una maana kwamba watu wanaojua utamaduni wa zamani pekee hawako tayari kukubali mpya.
# vazi
nguo
# kipande
"kipande cha nguo mpya" kinatumika kuziba nguo iliyochanika
# na mpasuko mkubwa utatokea
Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji