# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kujibu swali ambalo wanafunzi wa Yohana walikuwa wameuliza # Hakuna anayeweka kipande cha nguo mpya kwenye nguo ya zamani Huu msemo una maana kwamba watu wanaojua utamaduni wa zamani pekee hawako tayari kukubali mpya. # vazi nguo # kipande "kipande cha nguo mpya" kinatumika kuziba nguo iliyochanika # na mpasuko mkubwa utatokea Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji