sw_tn/mat/07/26.md

16 lines
598 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Huu ndio mwisho wa mahubiri ya Yesu ya mlimani yanayoanzaia 5:1
# atafananishwa na mtu mpumbavu aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga
Yesu aliendelea kutumia mlinganyo kutoka mstari uliopita. Yeye analinganisha wale ambao hawatii neno lake na mpumbavu aliyejenga nyumba. Mpumbavu pekee aweza kujenga nyumba juu ya mchanga ambapo mvua,mafuriko na upepo vinaweza kuhamisha mchanga.
# kuanguka
Tumia neno la ujumla kwa lugha yako ambalo linaelezea kilichotokea wakati nyumba inaanguka chini.
# na anguko lake likakamilika
Mvua,mafuriko na upepo hakika yaliangamiza nyumba.