sw_tn/mat/06/27.md

32 lines
833 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa ujumla
Yesu ansema na makutano juu ya kile kinachoweza kutokea kwao katika maisha binafsi.viwakilishi vya "mwenu" na "yake" vimo katika wingi.
# Na nani mmoja miongoni mwenu kwa kuwa na wasiwasi anaweza kuongeza siku za kuishi?
Yesu anatumia swali kufundisha watu. Anamaanisha hakuna atakayeishi maisha marefu kwa kuwa na hofu.
# inchi moja
"inchi" ni pungufu ya mita. Hapa ni msemo wa kuongeza kiasi cha miaka mingapi ya kuishi mtu.
# Na kwa nini mna kuwa na hofu kuhusu mavazi?
Yesu anatumia swali kufundisha watu. AT:"Usiwe na hofu kuhusu nini utavaa."
# Fikiria kuhusu
'Zingatia"
# maua
aina ya maua ya porini
# Ninakuambia wewe
Hii inaongeza msisitizo wa kile ambacho Yesu ataongea baadae
# hakuwahi kuvikwa kwa namna hii
Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai. AT:"hakuvaa nguo nzuri kama haya maua."