# Maelezo kwa ujumla Yesu ansema na makutano juu ya kile kinachoweza kutokea kwao katika maisha binafsi.viwakilishi vya "mwenu" na "yake" vimo katika wingi. # Na nani mmoja miongoni mwenu kwa kuwa na wasiwasi anaweza kuongeza siku za kuishi? Yesu anatumia swali kufundisha watu. Anamaanisha hakuna atakayeishi maisha marefu kwa kuwa na hofu. # inchi moja "inchi" ni pungufu ya mita. Hapa ni msemo wa kuongeza kiasi cha miaka mingapi ya kuishi mtu. # Na kwa nini mna kuwa na hofu kuhusu mavazi? Yesu anatumia swali kufundisha watu. AT:"Usiwe na hofu kuhusu nini utavaa." # Fikiria kuhusu 'Zingatia" # maua aina ya maua ya porini # Ninakuambia wewe Hii inaongeza msisitizo wa kile ambacho Yesu ataongea baadae # hakuwahi kuvikwa kwa namna hii Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai. AT:"hakuvaa nguo nzuri kama haya maua."