sw_tn/mat/05/23.md

24 lines
725 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# una
Yesu anawaambia kundi la watu juu ya kile kinachoweza kutokea kwao kibinafsi. matukio yote yanayohusiana na viwakilishi "una" na "yako" yametumika katika hali ya umoja, lakini lugha yako inaweza kukutaka utafsiri katika wingi
# unatoa sadaka yako
"kutoa sadaka yako" au "kuleta sadaka yako"
# katika madhabahu
Hii inamaanisha kuwa ni madhabahu ya Mungu iliyo hekaluni kule Yerusalemu, " madhabahuni pa Mungu hekaluni".
# na unakumbuka kuwa
"na ukumbuke ukiwa umesimama madhabahuni"
# ndugu yako ana jambo lolote dhidi yako
"mtu mwingine ana hasira na wewe kwa sababu ya kile ulichomfanyia"
# kapatane kwanza na ndugu yako
Hili linaweza kuelezeka katika muundo tendaji. "jambo la kwanza ni kutafuta suluhu"