forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
548 B
Markdown
16 lines
548 B
Markdown
|
# Salmoni alikuwa baba wa Boazi kwa Rahabu
|
||
|
|
||
|
"Salamoni alikuwa baba wa Boazi, na mama wa Boazi alikuwa Rahabu" au "Salmoni na Rahabu walikuwa wazazi wa Boazi.
|
||
|
|
||
|
# BOazi baba wa Obedi kwa Ruth
|
||
|
|
||
|
"Boazi alikuwa baba wa Obedi, na mama wa Obedi alikuwa Ruth" au "Boazi na Ruth walikuwa wazazi wa Obedi"
|
||
|
|
||
|
# Daudi alikuwa baba wa Sulemani kwa mke wa Uria.
|
||
|
|
||
|
"Daudi alikuwa baba wa Sulemani, na mama wa Sulemani alikuwa mke wa Uria" au "Daudi na mke wa Uria walikuwa wazazi wa Sulemani"
|
||
|
|
||
|
# mke wa Uria
|
||
|
|
||
|
Sulemani alizaliwa baada ya Uria kufa. "mjane wa Uria."
|