sw_tn/luk/21/27.md

24 lines
857 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mwana wa Adamu
Yesu anarejea kwake mwenyewe
# akija mawinguni
Tafsiri mbadala: "akija chini katika mawingu"
# katika nguvu na utukufu mkuu
Hapa "nguvu" inawezekana inarejea katika mamlaka yake kuuhukumu ulimwengu. Hapa "utukufu" unaweza kurejea mwanga angavu. Mungu wakati mwingine anaonyesha ukuu wake na mwanga angavu sana. Tafsiri mbadala: "a nguvu na utukufu" au "atakuwa na wa nguvu na wa utukufu sana."
# simameni
Wakati mwingine watu wanapoogopa, hujiinamisha chini ili kuepuka kuonekana au kuumizwa. Wakati wanapokuwa hawaogopi tena, wananyanyuka. Tafsiri mbadala: "simameni na ujasiri."
# inueni vichwa vyenu
Tafsiri mbadala: "tazameni juu." Kwa kutazama juu, wataweza kumuona mwokozi akija kwao.
# kwa sababu ukombozi wenu unasogea karibu
Tafsiri mbadala: "kwa sababu mkombozi wenu anakuja kwenu" au "kwa sababu Mungu mara atawaokoa"