sw_tn/luk/19/39.md

16 lines
382 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wanyamazishe wanafunzi wako
"waambie wanafunzi wako waache kufanya mambo haya"
# Nawaambieni
Yesu alisema hivi kuonyesha msisitizo wa alichotaka kukisema baadae.
# Hawa wakinyamaza
Tafsiri zingine zinahitaji kuweka wazi kile ambacho Yesu alikuwa ikimaanisha pale aliposema 'Hapana, mimi sitawakemea, kwa maana hwa watu wakikaa kimya.'
# Mawe yatapaza sauti
"Mawe yatasifu"