# Wanyamazishe wanafunzi wako "waambie wanafunzi wako waache kufanya mambo haya" # Nawaambieni Yesu alisema hivi kuonyesha msisitizo wa alichotaka kukisema baadae. # Hawa wakinyamaza Tafsiri zingine zinahitaji kuweka wazi kile ambacho Yesu alikuwa ikimaanisha pale aliposema 'Hapana, mimi sitawakemea, kwa maana hwa watu wakikaa kimya.' # Mawe yatapaza sauti "Mawe yatasifu"