Imeandikwa kama Abrahimu alisema "hawatajali hata kama mtu atafufuka kutoka wafu." Hii ni mwelekeo wa ukweli kwamba Yesu atafufuka kutoka kwa wafu na hawatajali ukweli huu.
Maneno haya hayamaanishi kanuni za sheria ya Musa zilimalizika wakati wa Yohana Mbatizaji. Ni wazi kutoka kwenye Injili kuwa Yesu aliishi na kuhudumia kulingana na sheria. Kilichobadilika ni ujumbe uliotangazwa. Ndio maana UDB inasema, "Sheria ambazo Mungu alimpa Musa na kile ambacho manabii waliandika zilihuburiwa mpaka Yohana Mbatizaji alifika." (See: Luke 16:16 and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]])