Baadhi ya tafsiri hupendelea kuweka mbele kidogo mashairi au sala maalum. ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari ya 11: 2-4, ambayo ni sala maalum, inayoitwa "Sala ya Bwana." Sala hii katika Mathayo 6 kuweka mbele kidogo."
Yona alikuwa nabii wa Agano la Kale wa muhimu fulani lakini sio umuhimu mkubwa. Aliita taifa la Wayunani kutubu dhambi zao na walitii. Matukio haya husababisha nabii wa Kiyahudi kuwa na hasira juu ya neema ya Mungu inayoonyeshwa kwa Mataifa. Sura hii inalinganisha na mtazamo wa baadaye wa Wayahudi, sababu ya ukosefu wao wa toba na baadaye kuwa na hasira juu ya Mungu kwa neema anayowaonyesha Wayunani. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/prophet]], [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sin]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/grace]])
Mwangazi ni picha ya kawaida katika Maandiko iliyotumiwa kuonyesha haki. Mwanga pia hutumiwa kuonyesha njia ya haki na kuonyesha kuishi kwa haki. Giza mara nyingi hutumiwa kama picha ya kuonyesha dhambi au uovu. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/righteous]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/unrighteous]])
Hii ilikuwa zoezi lililofanywa na Mafarisayo, lakini haikuwa wajibu kulingana na sheria ya Musa. Mafarisayo walikuwa na ibada nyingi zinazohusisha kuosha kwa kujaribu kujiweka safi. Hii ni ajabu kwa sababu hakuna kiasi cha maji kinachoweza kuwafanya kuwa safi kiroho. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]], [[rc://*/tw/dict/bible/kt/clean]] and [[rc://*/ta/man/translate/figs-irony]])