sw_tn/luk/08/intro.md

30 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Luka 08 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na upangiliaji
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Kuna nyakati katika maelezo ya sura hii ambapo kuna mabadiliko ya ghafla katika mada. Mtafsiri hapaswi kulainisha mabadiliko haya.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Miujiza
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Miujiza ya Yesu katika sura hii inaonyesha kwamba alikuwa na mamblaka juu ya mambo yanayozidi udhibiti wa binadamu. Inaonyesha pia kwamba kumwabudu Yesu ni jibu sahihi kwa matendo yake. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/authority]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Mifano
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Mfano ni hadithi fupi inayotumikiwa kwa kuonyesha fundisho ya maadili au wa kidini. Sura hii ina mfano mrefu, unaofunua ukweli kwa wale wanaomwamini Yesu. Pia yanaficha ukweli huo huo kutoka kwa wale wanaomkataa Yesu. Mifano kwa kawaida huchukua fomu ya hadithi.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Kaka na Dada
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Sura hii inaanzisha dhana ya kaka na dada "wa kiroho". Maandiko hutumia maneno haya kwa kutaja uhusiano kati ya Waisraeli. Hapa, wale wanaomfuata Yesu sasa wanajulikana kama kaka na dada. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/spirit]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/brother]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[Luke 08:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../07/intro.md) | [>>](../09/intro.md)__