sw_tn/luk/03/intro.md

34 lines
1.7 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Luka 03 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na upangiliaji
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Baadhi ya tafsiri hupendelea kuweka nukuu mbele kidogo ya maanidko nyingine za Agano la Kale. ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari ya 3:4-6, ambayo ni nukuu kutoka Agano la Kale.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Haki
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Maelekezo ya Yohana kwa askari na watoza ushuru katika sura hii si ngumu. Ni mambo ambayo yaliyopaswa kuwa wazi kwao. Aliwaagiza kuishi kwa haki. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/justice and Luke 3:12-15]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Nasaba
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Nasaba ni orodha ambayo hurekodi mababu au wazao wa mtu. Orodha hizo zilikuwa muhimu sana katika kuamua nani aliyekuwa na haki ya kuwa mfalme, kwa sababu mamlaka ya mfalme mara nyingi ilipokelewa au kurithiwa kutoka kwa baba yake. Ilikuwa pia ya kawaida kwa mtu yeyote mashuhuri kuwa na kumbukumbu ya kizazi.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Sitiari
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Unabii mara nyingi huhusisha matumizi ya sitiari ili kueleza maana yake. Utambuzi wa kiroho unahitajika kwa tafsiri sahihi ya unabii. Unabii wa Isaya ni sitiari ndefu unaoeleza huduma ya Yohana Mbatizaji (Luka 3:4-6). Tafsiri ni ngumu. Inapendekezwa kuwa mtafsiri azingatie kila mstari wa ULB kama mfano tofauti. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/prophet]]) and [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "(Herode) alimfunga Yohana gerezani"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Tukio hili linaweza kuchanganya kwa sababu mwandishi anasemaYohana alifungwa na kisha anasema alikuwa akibatiza Yesu. Mwandishi huenda anatumia maneno haya kwa kutarajia wakati Herode anamfunga Yohana. Hii inamaanisha kwamba taarifa hii iliandikwa kabla ya tukio lenyewe katika maandishi.
## Links:
* __[Luke 03:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__