sw_tn/luk/02/45.md

28 lines
841 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# ikatokea kwamba
Kauli hii ilitumika hapa kuashiria umhimu wa tukio katika simulizi. Kama lugha yako ina namna ya kufanya hivi, ufikiri kuitumia hapa.
# katika hekalu
Hii inarejea kwenye kiwanja cha hekalu. Makuhani tu walioruhusiwa ndani ya hekalu. NI: "katika kiwanja cha hekalu" au "kwenye hekalu."
# katikati ya
Hii haina maana ya katikati kabisa. Zaidi, inamaanisha, "kati" au "pamoja na" au "kuzunguka."
# waalimu
"waalimu wa dini" au "wale ambao waliwafundisha watu kuhusu Mungu"
# wote waliosikia walishangaa
Walikuwa hawawezi kuelewa namna gani mvulana wa miaka kumi na miwili asiye na elimu ya dini ajibu vizuri hivyo.
# kwenye ufahamu wake
"kwa kiwango kipi alielewa" au "kwamba yeye anaelewa mengi sana kuhusu Mungu"
# majibu yake
"kwa namna alivyo wajibu vizuri" au "kwamba yeye aliwajibu maswali yao vizuri sana"