sw_tn/luk/02/22.md

28 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wakati hesabu iliyotakiwa ... ilishapita
Hii inaonesha kupita kwa muda kabla ya tukio jipya.
# hesabu iliyotakiwa ya siku
Hii inaweza kusemwa kwenye mtindo wa tendea. NI: "hesabu ya siku ambazo Mungu alitaka."
# kwaajili ya kujitakasa kwao
"kwaajili ya wao kuwa safi kiutaratibu." Pia unaweza kuisema nafasi ya Mungu. "Mungu kutaka wao wawe safi tena."
# kumkabidhi kwa Bwana
"kumleta kwa Bwana" au "kumleta yeye kwenye uwepo wa Bwana." Hii ilikuwa ni sherehe kutambua nia ya Mungu kwa mtoto mzaliwa wa kwanza ambaye ni wa kiume.
# kama ilivyo andikwa
Hii inaweza kusemwa katika mtindo wa tendea. NI: "kama alivyo andika Musa" au "walifanya hivyo kwa sababu Musa aliandika."
# kila mwanaume ambaye anafungua tumbo
"fungua tumbo" ni nahau ambayo inarejea kwa mtoto wa kwanza kutoka tumboni. Hii ilirejea kwa wote wanyama na wanadamu. NI: "kila mzaliwa wa kwanza mtoto ambaye ni mwanaume."
# hicho ambacho kilisemwa katika sheria ya Bwana
"ambacho sheria ya Bwana inasema." Hii ni sehemu tofauti katika sheria. Inarejea kwa wanaume, iwe mzaliwa wa kwanza au sivyo.