# wakati hesabu iliyotakiwa ... ilishapita Hii inaonesha kupita kwa muda kabla ya tukio jipya. # hesabu iliyotakiwa ya siku Hii inaweza kusemwa kwenye mtindo wa tendea. NI: "hesabu ya siku ambazo Mungu alitaka." # kwaajili ya kujitakasa kwao "kwaajili ya wao kuwa safi kiutaratibu." Pia unaweza kuisema nafasi ya Mungu. "Mungu kutaka wao wawe safi tena." # kumkabidhi kwa Bwana "kumleta kwa Bwana" au "kumleta yeye kwenye uwepo wa Bwana." Hii ilikuwa ni sherehe kutambua nia ya Mungu kwa mtoto mzaliwa wa kwanza ambaye ni wa kiume. # kama ilivyo andikwa Hii inaweza kusemwa katika mtindo wa tendea. NI: "kama alivyo andika Musa" au "walifanya hivyo kwa sababu Musa aliandika." # kila mwanaume ambaye anafungua tumbo "fungua tumbo" ni nahau ambayo inarejea kwa mtoto wa kwanza kutoka tumboni. Hii ilirejea kwa wote wanyama na wanadamu. NI: "kila mzaliwa wa kwanza mtoto ambaye ni mwanaume." # hicho ambacho kilisemwa katika sheria ya Bwana "ambacho sheria ya Bwana inasema." Hii ni sehemu tofauti katika sheria. Inarejea kwa wanaume, iwe mzaliwa wa kwanza au sivyo.