sw_tn/luk/01/11.md

36 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi:
Wakati Zakaria anafanya wajibu wake hekaluni, malaika anakuja kutoka kwa Mungu kumpa ujumbe.
# Sasa
Neno hili linazingatia mwanzo wa kitendo katika historia,
# alimtokea
"ghafla alikuja kwake" au "ghafla alikuwa pale pamoja na Zakaria." Hii inaweka wazi kwamba malaika alikuwa pamoja na Zakaria, na siyo tu maono.
# Zakaria ... alikuwa katekewa ... woga ukamwangukia
Hizi kauli mbili zinamaana ileile, na zinasisitiza jinsi Zakaria alivyokuwa na hofu.
# Zakaria alipomuona
"Zakaria alipomwona malaika" Chanzo cha hofu kilikuwa kushituliwa na ile asili ya malaika. Zakaria hakufanya kitu chochote kibaya.
# Hofu ikaja juu yake
Hofu ni kitu kinachofafanuliwa kama kwamba shambulio au Zakaria alizidiwa nguvu.
# Usiogope
"usiendelee kuniogopa mimi" au "Wewe hutakiwi kuniogopa mimi"
# maombi yako yamesikiwa
"Mungu amesikia ambacho uliomba." Kinachofuata kinadokeza na kingeliongezwa: "ataruhusu hiyo." Mungu hakukomea kusikia tu alichoomba Zakaria; pia alikuwa anaelekea kutenda.
# utazaa mwana
"mwana wa kiume kwaajili yako" au "kuzaa mtoto wako wa kiume"