sw_tn/lev/25/42.md

16 lines
352 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo Unganishi
Mungu anaendelea kumwambia Musa yaliyompasa kuwaambia watu.
# wao ni watumishi wangu
"wananchi wenzako ni watumishi wangu"
# Hawatauzwa kama watumwa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Haiwapasi kuwauza kama watumwa.
# waweza kununua watumwa kutoka kwao.
"labda mwaweza kununua watumwa kutoka kwa mataifa hayo"