# Maelezo Unganishi Mungu anaendelea kumwambia Musa yaliyompasa kuwaambia watu. # wao ni watumishi wangu "wananchi wenzako ni watumishi wangu" # Hawatauzwa kama watumwa Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Haiwapasi kuwauza kama watumwa. # waweza kununua watumwa kutoka kwao. "labda mwaweza kununua watumwa kutoka kwa mataifa hayo"