sw_tn/lev/10/05.md

32 lines
827 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hivyo wakakaribia
"Kwa hiyo Mishaeli na Elzafani wakakaribia"
# kuwachukua wangali wamevaa kanzu zao za kikuhani
Waliibeba miili ya Nadabu na Abihu, ambayo ilikuwa ingali kwenye kanzu za kikuhani
# Eliezari...Ithamari
Haya ni majina ya wana wa Aroni.
# Msiache wazi nywele za vichwa vyenu, wala msirarue nguo zenu,
Yahweh anawaambia Aroni na wanawe wasionyeshe ishara yoyote ya nje ya huzuni au kuomboleza.
# ili kwamba msije mkafa
"ili kwamba msife"
# asilikasirikie kusanyiko zima
"Kusanyiko" hapa humaanisha kutaniko zima la Israeli, siyo kikundi cha viongozi tu. : "asiwakasirikie watu wote wa Israeli"
# nyumba yote ya Israeli
"Nyumba" hapa huwakilisha watu wa Israeli. "watu wote wa Israeli"
# kwa ajili ya hao ambao Yahweh amewaangamiza kwa moto
"kwa ajili ya wale ambao Yahweh aliwaua kwa moto wake"