# Hivyo wakakaribia "Kwa hiyo Mishaeli na Elzafani wakakaribia" # kuwachukua wangali wamevaa kanzu zao za kikuhani Waliibeba miili ya Nadabu na Abihu, ambayo ilikuwa ingali kwenye kanzu za kikuhani # Eliezari...Ithamari Haya ni majina ya wana wa Aroni. # Msiache wazi nywele za vichwa vyenu, wala msirarue nguo zenu, Yahweh anawaambia Aroni na wanawe wasionyeshe ishara yoyote ya nje ya huzuni au kuomboleza. # ili kwamba msije mkafa "ili kwamba msife" # asilikasirikie kusanyiko zima "Kusanyiko" hapa humaanisha kutaniko zima la Israeli, siyo kikundi cha viongozi tu. : "asiwakasirikie watu wote wa Israeli" # nyumba yote ya Israeli "Nyumba" hapa huwakilisha watu wa Israeli. "watu wote wa Israeli" # kwa ajili ya hao ambao Yahweh amewaangamiza kwa moto "kwa ajili ya wale ambao Yahweh aliwaua kwa moto wake"