sw_tn/lev/07/01.md

28 lines
800 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa Ujumla:
Yahweh anaendelea kumwambia Munsa kile anachopaswa kumwambia Aroni na wanawe.
# mahali panapostali kuchinjwa
Panaweza kuwekwa wazi kwamba hapa panamaanisha Mahali ambapo wanyama watolewao kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa huchinjwa. Tazama 1:10
# Mafuta yote yaliyomo ndani yake yatatolewa:
Hii yaweza kufasiriwa katika mtido wa utendaji. : "Yule kuhani atayatoa mafuta yote yaliyomo ndani yake"
# sehamu za ndani
Hili ni tumbo pamoja na Matumbo
# Ini...figo
maneno haya yamefasiriwa katika mtindo ule ule uliotumika kwenye sura ya 3:3
# karibu na kiuno
Hii ni sehemu ya mwili kwenye pande za uti wa mgonngo kati ya mbavu na mifupa ya nyonga. Tazama 3:3
# hii yote lazima iondolewe
Hili linaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : Huyo Kuhani aiondoa hii yote.