forked from WA-Catalog/sw_tn
800 B
800 B
Taarifa kwa Ujumla:
Yahweh anaendelea kumwambia Munsa kile anachopaswa kumwambia Aroni na wanawe.
mahali panapostali kuchinjwa
Panaweza kuwekwa wazi kwamba hapa panamaanisha Mahali ambapo wanyama watolewao kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa huchinjwa. Tazama 1:10
Mafuta yote yaliyomo ndani yake yatatolewa:
Hii yaweza kufasiriwa katika mtido wa utendaji. : "Yule kuhani atayatoa mafuta yote yaliyomo ndani yake"
sehamu za ndani
Hili ni tumbo pamoja na Matumbo
Ini...figo
maneno haya yamefasiriwa katika mtindo ule ule uliotumika kwenye sura ya 3:3
karibu na kiuno
Hii ni sehemu ya mwili kwenye pande za uti wa mgonngo kati ya mbavu na mifupa ya nyonga. Tazama 3:3
hii yote lazima iondolewe
Hili linaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : Huyo Kuhani aiondoa hii yote.