# Taarifa kwa Ujumla: Yahweh anaendelea kumwambia Munsa kile anachopaswa kumwambia Aroni na wanawe. # mahali panapostali kuchinjwa Panaweza kuwekwa wazi kwamba hapa panamaanisha Mahali ambapo wanyama watolewao kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa huchinjwa. Tazama 1:10 # Mafuta yote yaliyomo ndani yake yatatolewa: Hii yaweza kufasiriwa katika mtido wa utendaji. : "Yule kuhani atayatoa mafuta yote yaliyomo ndani yake" # sehamu za ndani Hili ni tumbo pamoja na Matumbo # Ini...figo maneno haya yamefasiriwa katika mtindo ule ule uliotumika kwenye sura ya 3:3 # karibu na kiuno Hii ni sehemu ya mwili kwenye pande za uti wa mgonngo kati ya mbavu na mifupa ya nyonga. Tazama 3:3 # hii yote lazima iondolewe Hili linaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : Huyo Kuhani aiondoa hii yote.