sw_tn/lam/04/19.md

8 lines
210 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Pumzi katika pua zetu
Hii ni cheo cha mfalme, anaye toa uzima kwa watu wake kama pumzi inavyo upa mwili uhai.
# aliye kamatwa katika shimo
Hapa "shimo" la husu mtego wa adui, mpango wao wa kumkamata adui.