# Pumzi katika pua zetu Hii ni cheo cha mfalme, anaye toa uzima kwa watu wake kama pumzi inavyo upa mwili uhai. # aliye kamatwa katika shimo Hapa "shimo" la husu mtego wa adui, mpango wao wa kumkamata adui.