sw_tn/lam/01/15.md

24 lines
649 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wanaume wangu hodari walio niokoa
Katika hichi kipengele Yerusalemu bado yaelezewa kama mwanamke anaye jielezea.
# wanaume hodari
"wanajeshi wenye nguvu"
# kusanyiko
Hapa adui anaye shambulia Yerusalemu anaelezewa kama ni mkutano wa watu waliyo kuja pamoja ili kushitaki na kuhukumu.
# wanaume imara
wanaume katika wakati kipindi chao cha nguvu
# Bwana amewakanyaga ... chombo cha kusagia mvinyo
Hapa hukumu ya Mungu yaelezewa kama Yerusalemu ni mizabibu aliyo ikanyaga ili kukamua jwisi.
# binti bikra wa Yuda
Hili ni jina la kishairi la Yerusalemu, mbapo hapa yaelezewa kama mwanamke. Neno "bikra" la hashiria kuwa mwanamke ni msafi.